2 Kings 9:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maofisa wake wakaichukua maiti yake ndani ya gari lake na kuipeleka Yerusalemu; na huko akazikwa katika makaburi ya kifalme katika mji wa Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watumishi wake wakambeba kwa gari la vita na kumpeleka Yerusalemu, wakamzika pamoja na baba zake kwenye kaburi lake katika Mji wa Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watumishi wake wakamchukua garini mpaka Yerusalemu, wakamzika katika kaburi lake pamoja na baba zake katika mji wa Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maofisa wake wakaichukua maiti yake ndani ya gari lake na kuipeleka Yerusalemu; na huko akazikwa katika makaburi ya kifalme katika mji wa Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watumishi wake wakambeba kwa gari la vita na kumpeleka Yerusalemu na kumzika pamoja na baba zake kwenye kaburi lake katika Mji wa Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watumishi wake wakambeba kwa gari la vita na kumpeleka Yerusalemu, wakamzika pamoja na baba zake kwenye kaburi lake katika Mji wa Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watumishi wake wakamchukua garini mpaka Yerusalemu, wakamzika katika kaburi lake pamoja na baba zake katika mji wa Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maofisa wake wakaichukua maiti yake ndani ya gari lake na kuipeleka Yerusalemu; na huko akazikwa katika makaburi ya kifalme katika mji wa Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watumishi wake wakampeleka Yerusalemu katika gari lake, wakamzika katika kaburi lake kwa baba zake mjini mwa Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watumishi wake wakamchukua garini mpaka Yerusalemu, wakamzika katika kaburi lake pamoja na baba zake katika mji wa Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wake wakaitwaa maiti yake ndani ya gari lake na kuipeleka Yerusalema. Kule akazikwa katika makaburi ya kifalme katika muji wa Daudi.