2 Kings 9:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda katika mwaka wa kumi na moja wa enzi ya Yoramu mwana wa Ahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Katika mwaka wa kumi na moja wa Yoramu mwana wa Ahabu, Ahazia alianza kutawala katika Yuda.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mwaka wa kumi na moja wa Yoramu mwana wa Ahabu, Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda katika mwaka wa kumi na moja wa enzi ya Yoramu mwana wa Ahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Katika mwaka wa kumi na moja wa Yoramu mwana wa Ahabu, Ahazia alianza kutawala katika Yuda).
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Katika mwaka wa kumi na moja wa Yoramu mwana wa Ahabu, Ahazia alianza kutawala katika Yuda.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mwaka wa kumi na moja wa Yoramu mwana wa Ahabu, Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda katika mwaka wa kumi na moja wa enzi ya Yoramu mwana wa Ahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu Ahazia alikuwa ameupata ufalme wa Wayuda katika mwaka wa 11 wa Yoramu, mwana wa Ahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwaka wa kumi na moja wa Yoramu mwana wa Ahabu, Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahazia alianza kutawala juu ya Yuda katika mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Yoramu mwana wa Ahabu.