2 Kings 9:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehu alipokuwa akiingia langoni Yezebeli alisema, “Unakuja kwa amani, ewe Zimri! Wewe unayewaua mabwana zako?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehu alipokuwa akiingia langoni, Yezebeli akasema, “Je, umekuja kwa amani, Zimri, wewe muuaji wa bwana wako?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata Yehu alipoingia lango la mji, alisema, Je! Ni amani, Ewe Zimri, mwenye kumwua bwana wako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehu alipokuwa akiingia langoni Yezebeli alisema, “Unakuja kwa amani, ewe Zimri! Wewe unayewaua mabwana zako?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehu alipokuwa akiingia langoni, Yezebeli akasema, “Je, umekuja kwa amani, Zimri, wewe mwuaji wa bwana wako?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehu alipokuwa akiingia langoni, Yezebeli akasema, “Je, umekuja kwa amani, Zimri, wewe muuaji wa bwana wako?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata Yehu alipoingia lango la mji, alisema, Je! Ni amani, Ewe Zimri, mwenye kumwua bwana wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehu alipokuwa akiingia langoni Yezebeli alisema, “Unakuja kwa amani, ewe Zimri! Wewe unayewaua mabwana zako?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yehu alipoingia langoni mwa mji, akamwuliza: Zimuri aliyemwua bwana wake hajambo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata Yehu alipoingia lango la mji, alisema, Je! Ni amani, Ewe Zimri, mwenye kumwua bwana wako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yehu alipokuwa akiingia kwenye mulango, Yezebeli alisema: “Unakuja kwa amani, ewe Zimuri, wewe unayemwua bwana wako?”