2 Kings 9:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuingia katika jumba la kifalme, na huko akala na kunywa. Halafu akaamuru: “Mzikeni mwanamke huyo aliyelaaniwa; kwa kuwa ni binti mfalme.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehu akaingia ndani, akala na akanywa. Akasema, “Mshughulikieni huyo mwanamke aliyelaaniwa. Mzikeni, kwa sababu alikuwa binti ya mfalme.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipoingia, akala, na kunywa; kisha akasema, Haya! Mwangalieni mwanamke huyu aliyelaaniwa, mkamzike; kwa maana ni binti mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuingia katika jumba la kifalme, na huko akala na kunywa. Halafu akaamuru: “Mzikeni mwanamke huyo aliyelaaniwa; kwa kuwa ni binti mfalme.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehu akaingia ndani akala na akanywa. Akasema, “Mshughulikieni huyo mwanamke aliyelaaniwa, mzikeni, kwa sababu alikuwa binti wa mfalme.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehu akaingia ndani, akala na akanywa. Akasema, “Mshughulikieni huyo mwanamke aliyelaaniwa. Mzikeni, kwa sababu alikuwa binti wa mfalme.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipoingia, akala, na kunywa; kisha akasema, Haya! Mwangalieni mwanamke huyu aliyelaaniwa, mkamzike; kwa maana ni binti mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuingia katika jumba la kifalme, na huko akala na kunywa. Halafu akaamuru: “Mzikeni mwanamke huyo aliyelaaniwa; kwa kuwa ni binti mfalme.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yehu alipokwisha kuingia, akala, akanywa, kisha akaagiza: Haya! Mtazameni yule mwanamke aliyeapizwa, mmzike, kwani ni binti mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipoingia, akala, na kunywa; kisha akasema, Haya! Mwangalieni mwanamke huyu aliyelaaniwa, mkamzike; kwa maana ni binti mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuingia katika nyumba ya kifalme, na huko akakula na kunywa. Halafu akaamuru: “Muzike mwanamuke yule aliyelaaniwa kwa sababu ni binti ya mufalme.”