2 Kings 9:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo walipokwenda kumzika; lakini hawakuona chochote isipokuwa fuvu la kichwa, mifupa ya mikono na miguu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini walipotoka kwenda kumzika, hawakukuta kitu chochote isipokuwa fuvu la kichwa, miguu yake na mikono.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaenda ili kumzika; lakini hawakuona kitu ila kifuvu cha kichwa chake, na miguu yake, na vitanga vya mikono yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo walipokwenda kumzika; lakini hawakuona chochote isipokuwa fuvu la kichwa, mifupa ya mikono na miguu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini walipotoka kwenda ili kumzika, hawakukuta kitu cho chote isipokuwa fuvu la kichwa, miguu yake na mikono.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini walipotoka kwenda kumzika, hawakukuta kitu chochote isipokuwa fuvu la kichwa, miguu yake na mikono.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaenda ili kumzika; lakini hawakuona kitu ila kifuvu cha kichwa chake, na miguu yake, na vitanga vya mikono yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo walipokwenda kumzika; lakini hawakuona chochote isipokuwa fuvu la kichwa, mifupa ya mikono na miguu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokwenda kumzika hawakumwona, ni kichwa tu na miguu na viganja vya mikono.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaenda ili kumzika; lakini hawakuona kitu ila kifuvu cha kichwa chake, na miguu yake, na vitanga vya mikono yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu walikwenda kumuzika lakini hawakuona chochote isipokuwa mufupa wa kichwa na mifupa ya mikono na miguu.