2 Kings 9:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha walirudi na kumpasha Yehu habari hizi, naye akasema, “Hivi ndivyo Mwenyezi-Mungu alivyotabiri kupitia kwa mtumishi wake Elia Mtishbi akisema, ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli katika nchi ya Yezreeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakarudi na kumwambia Yehu, ambaye alisema, “Hili ndilo neno la Mwenyezi Mungu alilosema kwa kinywa cha mtumishi wake Ilya Mtishbi, kwamba: Katika kiwanja cha Yezreeli, mbwa wataila nyama ya Yezebeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakarudi, wakampasha habari. Akasema, Hili ndilo neno la Bwana, alilolinena kwa kinywa cha mtumishi wake Eliya, Mtishbi, kusema, Katika kiwanja cha Yezreeli mbwa wataila nyama ya Yezebeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha walirudi na kumpasha Yehu habari hizi, naye akasema, “Hivi ndivyo Mwenyezi-Mungu alivyotabiri kupitia kwa mtumishi wake Elia Mtishbi akisema, ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli katika nchi ya Yezreeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakarudi na kumwambia Yehu, ambaye alisema, “Hili ndilo neno la BWANA alilosema kupitia kinywa cha mtumishi wake Eliya Mtishbi, kusema, Katika kiwanja cha Yezreeli mbwa wataila nyama ya Yezebeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakarudi na kumwambia Yehu, ambaye alisema, “Hili ndilo neno la bwana alilosema kupitia kinywa cha mtumishi wake Ilya Mtishbi, kwamba: Katika kiwanja cha Yezreeli, mbwa wataikula nyama ya Yezebeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakarudi, wakampasha habari. Akasema, Hili ndilo neno la BWANA, alilolinena kwa kinywa cha mtumishi wake Eliya, Mtishbi, kusema, Katika kiwanja cha Yezreeli mbwa wataila nyama ya Yezebeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha walirudi na kumpasha Yehu habari hizi, naye akasema, “Hivi ndivyo Mwenyezi-Mungu alivyotabiri kupitia kwa mtumishi wake Elia Mtishbi akisema, ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli katika nchi ya Yezreeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakarudi kumpasha hizi habari; ndipo, aliposema: Hivi ndivyo, Bwana alivyosema kinywani mwa Elia wa Tisibe kwamba: Shambani kwa Izireeli mbwa watazila nyama za mwili wake Izebeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakarudi, wakampasha habari. Akasema, Hili ndilo neno la BWANA, alilolinena kwa kinywa cha mtumishi wake Eliya, Mtishbi, kusema, Katika kiwanja cha Yezreeli mbwa wataila nyama ya Yezebeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha walirudi na kumupasha Yehu habari hii, naye akasema: “Hivi ndivyo Yawe alivyotabiri kwa njia ya mutumishi wake Elia wa muji wa Tisibe akisema: ‘Imbwa wataukula mwili wa Yezebeli katika shamba la Yezereheli.