2 Kings 9:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maiti yake Yezebeli itakuwa kama mavi shambani katika nchi ya Yezreeli, hivyo kwamba hakuna atakayeweza kumtambua.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maiti ya Yezebeli itakuwa kama kinyesi juu ya ardhi katika uwanja wa Yezreeli, kwamba hakutakuwa mtu atakayeweza kusema, ‘Huyu ni Yezebeli.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mzoga wa Yezebeli utakuwa kama mavi juu ya uso wa mashamba, katika kiwanja cha Yezreeli; hata wasipate kusema, Huyu ni Yezebeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maiti yake Yezebeli itakuwa kama mavi shambani katika nchi ya Yezreeli, hivyo kwamba hakuna atakayeweza kumtambua.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maiti ya Yezebeli itakuwa kama mavi shambani katika uwanja wa Yezreeli, kwamba hakutakuwepo mtu atakayeweza kusema, ‘Huyu ndiye Yezebeli.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maiti ya Yezebeli itakuwa kama mavi shambani katika uwanja wa Yezreeli, kwamba hakutakuwepo mtu atakayeweza kusema, ‘Huyu ndiye Yezebeli.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mzoga wa Yezebeli utakuwa kama mavi juu ya uso wa mashamba, katika kiwanja cha Yezreeli; hata wasipate kusema, Huyu ni Yezebeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maiti yake Yezebeli itakuwa kama mavi shambani katika nchi ya Yezreeli, hivyo kwamba hakuna atakayeweza kumtambua.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mzoga wake Izebeli utakuwa kama kinyesi cha shambani katika viwanja vya Izireeli, watu wasiweze kusema: Huyu hapa ni Izebeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mzoga wa Yezebeli utakuwa kama mavi juu ya uso wa mashamba, katika kiwanja cha Yezreeli; hata wasipate kusema, Huyu ni Yezebeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maiti ya Yezebeli itakuwa kama mboleo ndani ya shamba katika inchi ya Yezereheli, hata hakuna atakayeweza kumutambua.’ ”