2 Kings 9:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawe utaipiga jamaa ya bwana wako Ahabu ili nimlipize kisasi Yezebeli damu ya watumishi wangu manabii na ya watumishi wangu wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Inakupasa uiangamize nyumba ya bwana wako Ahabu, nami nitalipiza kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii na damu ya watumishi wote wa Mwenyezi Mungu iliyomwagwa na Yezebeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utawapiga nyumba ya Ahabu, bwana wako, ili nijilipize kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii, na damu ya watumishi wote wa Bwana, mkononi mwa Yezebeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawe utaipiga jamaa ya bwana wako Ahabu ili nimlipize kisasi Yezebeli damu ya watumishi wangu manabii na ya watumishi wangu wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Inakupasa uiangamize nyumba ya bwana wako Ahabu, nami nitalipiza kisasi juu ya damu ya watumishi wangu manabii na damu ya watumishi wote wa BWANA iliyomwagwa na Yezebeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Inakupasa uiangamize nyumba ya bwana wako Ahabu, nami nitalipiza kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii na damu ya watumishi wote wa bwana iliyomwagwa na Yezebeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utawapiga nyumba ya Ahabu, bwana wako, ili nijilipize kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii, na damu ya watumishi wote wa BWANA, mkononi mwa Yezebeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawe utaipiga jamaa ya bwana wako Ahabu ili nimlipize kisasi Yezebeli damu ya watumishi wangu manabii na ya watumishi wangu wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utawaua walio wa mlango wa bwana wako Ahabu, nipate kuzilipiza damu za wafumbuaji waliokuwa watumishi wangu, nazo damu za watumishi wote wa Bwana nikizitaka mkononi mwa Izebeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utawapiga nyumba ya Ahabu, bwana wako, ili nijilipize kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii, na damu ya watumishi wote wa BWANA, mkononi mwa Yezebeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe utaipiga jamaa ya bwana wako Ahabu kusudi nimulipize Yezebeli kisasi kwa damu ya watumishi wangu manabii na ya watumishi wangu wote.