2 Peter 1:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nadhani ni jambo jema kwangu, muda wote niishio hapa duniani, kuwapeni moyo na kuwakumbusheni juu ya mambo haya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naona ni vyema kuwakumbusha mambo haya wakati wote niko katika hema hili ambalo ni mwili wangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami naona ni haki, maadamu nipo mimi katika maskani hii, kuwaamsha kwa kuwakumbusha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nikiwa bado naishi hapa duniani, nadhani ni sahihi kwangu kuwakumbusha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nadhani ni jambo jema kwangu, muda wote niishio hapa duniani, kuwapeni moyo na kuwakumbusheni juu ya mambo haya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nadhani ni jambo jema kwangu, muda wote niishio hapa duniani, kuwapeni moyo na kuwakumbusheni juu ya mambo haya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naona ni vyema kuwaamsha kwa kuwakumbusha mambo haya wakati wote niwapo katika hema hili ambalo ni mwili wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naona ni vyema kuwakumbusha mambo haya wakati wote niwapo katika hema hili ambalo ni mwili wangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami naona ni haki, maadamu nipo mimi katika maskani hii, kuwaamsha kwa kuwakumbusha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nadhani ni jambo jema kwangu, muda wote niishio hapa duniani, kuwapeni moyo na kuwakumbusheni juu ya mambo haya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani naona, inafaa kuwakeshesha ninyi na kuwakumbusha mambo hayo siku zote, nikiwa nimo bado katika hema hili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami naona ni haki, maadamu nipo mimi katika maskani hii, kuwaamsha kwa kuwakumbusha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninaona kwamba ni vema niwaamushe kwa njia ya kuwakumbusha mambo haya wakati wote wa maisha yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami naona ni haki, maadam nipo mimi katika maskani hii, kuwaamsheni kwa kuwakumhusheni.