2 Peter 1:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawatakieni neema na amani tele katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neema na amani ziwe kwenu kwa wingi katika kumjua Mungu na Isa Bwana wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neema na iwe kwenu na amani iongezwe katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mpewe neema na amani zaidi na zaidi, kwa sababu sasa mnamjua Mungu na Yesu Bwana wetu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nawatakieni neema na amani tele katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawatakieni neema na amani tele katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neema na amani iwe kwenu kwa wingi katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neema na amani iwe kwenu kwa wingi katika kumjua Mwenyezi Mungu na Isa Bwana wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neema na iwe kwenu na amani iongezwe katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawatakieni neema na amani tele katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upole na utengemano uwafurikie, mkimtambua Mungu na Bwana wetu Yesu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neema na iwe kwenu na amani iongezwe katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawatakia neema na amani kwa uwingi kufuatana na vile munavyomujua Mungu na Yesu Bwana wetu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Neema na iwe kwenu na amani iongezwe katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu;