2 Peter 1:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu hiyo, fanyeni bidii ya kuongeza imani yenu kwa fadhila, fadhila yenu kwa elimu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu hii hasa, jitahidini sana katika imani yenu kuongeza wema; na katika wema, maarifa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, na kwa sababu iyo hiyo mkijitahidi sana kwa upande wenu, katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maarifa,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa sababu mna baraka hizi, jitahidini kadri mnavyoweza kuongeza mambo haya: katika imani yenu ongezeni wema, katika wema wenu ongezeni maarifa;
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa sababu hiyo, fanyeni bidii ya kuongeza fadhila katika imani yenu: ongezeni elimu katika fadhila yenu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu hiyo, fanyeni bidii ya kuongeza imani yenu kwa fadhila, fadhila yenu kwa elimu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu hii hasa, jitahidini sana katika imani yenu kuongeza wema na katika wema wenu maarifa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu hii hasa, jitahidini sana katika imani yenu kuongeza wema; na katika wema, maarifa;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, na kwa sababu hiyo hiyo jitahidini sana ili katika imani yenu mtie na wema, na katika wema wenu maarifa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu hiyo, fanyeni bidii ya kuongeza imani yenu kwa fadhila, fadhila yenu kwa elimu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo jipingieni kwa nguvu zote, hivyo, mnavyomtegemea Mungu, viwapatie wema, nao wema uwapatie utambuzi;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, na kwa sababu iyo hiyo mkijitahidi sana kwa upande wenu, katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maarifa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa sababu hii, mufanye bidii ya kuongeza wema juu ya imani yenu, elimu juu ya wema wenu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Naam, na kwa sababu hiyo hiyo mkijitahidi sana kwa upande wenu, katika imani yenn tieni na wema, na katika wema wenu maarifa,