2 Peter 1:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
elimu yenu kwa kuwa na kiasi, kuwa na kiasi kwa uvumilivu, uvumilivu wenu kwa uchaji wa Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katika maarifa, kiasi; katika kiasi, saburi; katika saburi, utauwa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu saburi, na katika saburi yenu utauwa,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
katika maarifa yenu ongezeni kiasi; katika kiasi chenu ongezeni uvumilivu; katika uvumilivu wenu ongezeni kumwabudu Mungu;
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kuwa na kiasi katika elimu yenu, uvumilivu katika kuwa na kiasi, uchaji wa Mungu katika uvumilivu wenu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
elimu yenu kwa kuwa na kiasi, kuwa na kiasi kwa uvumilivu, uvumilivu wenu kwa uchaji wa Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika maarifa yenu kiasi, katika kiasi, saburi, katika saburi yenu, utauwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika maarifa, kiasi; katika kiasi, saburi; katika saburi, utauwa;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu subira, na katika subira yenu utauwa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
elimu yenu kwa kuwa na kiasi, kuwa na kiasi kwa uvumilivu, uvumilivu wenu kwa uchaji wa Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao utambuzi uwapatie kujishinda wenyewe, nako kujishinda kuwapatie uvumilivu, nao uvumilivu uwapatie kumcha Mungu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu saburi, na katika saburi yenu utauwa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ukadirifu juu ya elimu yenu, uvumilivu juu ya ukadirifu, kushikamana na ibada juu ya uvumilivu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu uvumilivu, na katika uvumilivu wenu utawa,