2 Peter 1:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
uchaji wenu kwa urafiki wa kindugu, na urafiki wenu wa kindugu kwa mapendo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katika utauwa, upendano wa kindugu; na katika upendano wa kindugu, upendo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na katika utauwa wenu upendano wa ndugu, na katika upendano wa ndugu, upendo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
katika kumwabudu Mungu kwenu ongezeni huruma kwa ndugu katika Kristo na kwa wema huu ongezeni upendo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
udugu katika uchaji wenu, na mapendo katika udugu wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
uchaji wenu kwa urafiki wa kindugu, na urafiki wenu wa kindugu kwa mapendo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika utauwa wenu upendano wa kidugu, katika upendano wa kidugu, upendo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika utauwa, upendano wa ndugu; na katika upendano wa ndugu, upendo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na katika utauwa wenu upendano wa ndugu, na katika upendano wa ndugu, upendo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
uchaji wenu kwa urafiki wa kindugu, na urafiki wenu wa kindugu kwa mapendo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nako kumcha Mungu kuwapatie kupendana kindugu, nako kupendana kindugu kuwapatie kuwapenda watu wote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na katika utauwa wenu upendano wa ndugu, na katika upendano wa ndugu, upendo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
undugu juu ya kushikamana na ibada, na upendo juu ya undugu wenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na katika utawa wenu upendano wa ndugu, na katika upendano wa ndugu, upendo.