2 Peter 1:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mtu asiye na sifa hizo ni kipofu, hawezi kuona na amesahau kwamba alikwisha takaswa dhambi zake za zamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mtu yeyote asipokuwa na mambo haya, haoni mbali na ni kipofu, naye amesahau kwamba ametakaswa kutoka dhambi zake za zamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana yeye asiyekuwa na hayo ni kipofu, hawezi kuona vitu vilivyo mbali, amesahau kule kutakaswa dhambi zake za zamani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wale wasiokua na sifa hizi ndani yao ni wasiyeona. Hawataweza kuona kwa uwazi yale waliyonayo. Wamesahau kuwa dhambi zao ziliondolewa kutoka kwao na wakawa safi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini mtu asiye na sifa hizo ni kipofu, hawezi kuona na amesahau kwamba alikwisha takaswa dhambi zake za zamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mtu asiye na sifa hizo ni kipofu, hawezi kuona na amesahau kwamba alikwisha takaswa dhambi zake za zamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mtu ye yote asipokuwa na mambo haya haoni mbali, pia ni kipofu, naye amesahau kule kutakaswa kwa dhambi zake za zamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mtu yeyote asipokuwa na mambo haya haoni mbali, na ni kipofu, naye amesahau kule kutakaswa kutoka dhambi zake za zamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana yeye asiyekuwa na hayo ni kipofu, hawezi kuona vitu vilivyo mbali, amesahau kule kutakaswa dhambi zake za zamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mtu asiye na sifa hizo ni kipofu, hawezi kuona na amesahau kwamba alikwisha takaswa dhambi zake za zamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini asiye na mambo hayo ni kipofu, haoni, amekwisha kusahau, ya kuwa alitakaswa kwa kuondolewa makosa ya kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana yeye asiyekuwa na hayo ni kipofu, hawezi kuona vitu vilivyo mbali, amesahau kule kutakaswa dhambi zake za zamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mutu asiyekuwa na tabia hizo ni kipofu, hawezi kuona. Yeye amesahau kwamba amekwisha kutakaswa zambi zake za zamani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana yeye asiyekuwa na haya ni kipofu, hawezi kuona vitu vilivyo mbali, amesahau kule kutakaswa dhambi zake za zamani.