2 Peter 2:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akakaripiwa kwa ajili ya uovu wake. Punda ambaye hasemi, alinena kwa sauti ya binadamu, akaukomesha wazimu wa huyo nabii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa ajili ya uovu wake, alikemewa na punda, mnyama asiyejua kusema, alipoongea kwa sauti ya mwanadamu na kuzuia wazimu wa huyo nabii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini alikaripiwa kwa uhalifu wake mwenyewe; punda, asiyeweza kusema, akinena kwa sauti ya kibinadamu, aliuzuia wazimu wa nabii yule.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikemewa na punda kwa sababu alikuwa anatenda jamba baya. Punda alizungumza kwa sauti ya kibinadamu na akamzuia nabii yule kutenda kwa wazimu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
akakaripiwa kwa ajili ya uovu wake. Punda ambaye hasemi alinena kwa sauti ya binadamu, akaukomesha wazimu wa huyo nabii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akakaripiwa kwa ajili ya uovu wake. Punda ambaye hasemi, alinena kwa sauti ya binadamu, akaukomesha wazimu wa huyo nabii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Balaamu kwa ajili ya uovu wake, alikemewa na punda, mnyama asiyejua kusema, akaongea akitumia sauti ya mwanadamu na kuzuia wazimu wa huyo nabii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa ajili ya uovu wake, alikemewa na punda, mnyama asiyejua kusema, akaongea akitumia sauti ya mwanadamu na kuzuia wazimu wa huyo nabii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini alikaripiwa kwa uhalifu wake mwenyewe; punda, asiyeweza kusema, akinena kwa sauti ya kibinadamu, aliuzuia wazimu wa nabii yule.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akakaripiwa kwa ajili ya uovu wake. Punda ambaye hasemi, alinena kwa sauti ya binadamu, akaukomesha wazimu wa huyo nabii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini alikemewa alipokataa kuonyeka mwenyewe: punda asiyeweza kusema alisema kwa sauti ya kimtu, akamzuia yeye aliyekuwa mfumbuaji, asifanye lisilofanywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini alikaripiwa kwa uhalifu wake mwenyewe; punda, asiyeweza kusema, akinena kwa sauti ya kibinadamu, aliuzuia wazimu wa nabii yule.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini alikaripiwa kwa ajili ya uovu wake. Basi punda, ambaye hasemi, alisema kama mutu na kuzuiza kitendo cha upumbafu wa yule nabii.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
lakini alikaripiwa kwa ukhalifu wake mwenyewe; punda, asiyeweza kusema, akinena kwa sauti ya kibinadamu, aliuzuia wazimu wa nabii yule.