2 Peter 2:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwaahidi watu wengine eti watakuwa huru, kumbe wao wenyewe ni watumwa wa upotovu — maana mtu ni mtumwa wa chochote kile kinachomtawala.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanawaahidi uhuru wakati wao wenyewe ni watumwa wa upotovu; kwa maana “mtu ni mtumwa wa chochote kinachomtawala.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakiwaahidia uhuru, nao wenyewe ni watumwa wa uharibifu, maana mtu akishindwa na mtu huwa mtumwa wa mtu yule.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walimu hawa wa uongo wanawaahidi watu hao uhuru, lakini wao wenyewe hawako huru. Ni watumwa wa akili iliyoharibiwa na dhambi. Ndiyo, watu ni watumwa wa kitu chochote kinachowashinda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huwaahidi watu wengine eti watakuwa huru, kumbe wao wenyewe ni watumwa wa upotovu—maana mtu ni mtumwa wa chochote kile kinachomtawala.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwaahidi watu wengine eti watakuwa huru, kumbe wao wenyewe ni watumwa wa upotovu — maana mtu ni mtumwa wa chochote kile kinachomtawala.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwaahidi uhuru hao waliowanasa, wakati wao wenyewe ni watumwa wa ufisadi. Kwa maana mtu ni mtumwa wa kitu cho chote kinachomtawala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwaahidi uhuru hao waliowanasa, wakati wao wenyewe ni watumwa wa ufisadi: kwa maana mtu ni mtumwa wa kitu chochote kinachomtawala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakiwaahidi uhuru, nao wenyewe ni watumwa wa uharibifu, maana mtu akishindwa na mtu huwa mtumwa wa mtu yule.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwaahidi watu wengine eti watakuwa huru, kumbe wao wenyewe ni watumwa wa upotovu – maana mtu ni mtumwa wa chochote kile kinachomtawala.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huwaagia uungwana, nao wenyewe wamo katika utumwa uuao; kwani mtu akitekwa huwa mtumwa wake yeye aliyemteka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakiwaahidia uhuru, nao wenyewe ni watumwa wa uharibifu, maana mtu akishindwa na mtu huwa mtumwa wa mtu yule.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanawaahidi watu wengine kwamba watakuwa huru ijapokuwa wao wenyewe ni watumwa wa upotovu. Kwa maana kila mutu ni mutumwa wa jambo lolote linalomutawala.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakiwaahidia uhuru, nao wenyewe ni watumwa wa uharibifu. Maana mtu akishindwa na mtu, huwa mtumwa wa mtu yule.