2 Peter 2:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimwokoa Loti, mtu mwema, ambaye alisikitishwa sana na mwenendo mbaya wa watu hao waasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kama alimwokoa Lutu, mtu mwenye haki, ambaye alihuzunishwa na maisha machafu ya watu wapotovu
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akamwokoa Lutu, yule mwenye haki aliyehuzunishwa sana na mwenendo wa ufisadi wa hao wahalifu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini alimwokoa Lutu, mtu mwema aliyeishi huko. Lutu aliugua sana moyoni kutokana na mwenendo wa kimaisha usiofaa na matendo ya uasi ya wale watu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alimwokoa Loti, mtu mwema, ambaye alisikitishwa sana na mwenendo mbaya wa watu hao waasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimwokoa Loti, mtu mwema, ambaye alisikitishwa sana na mwenendo mbaya wa watu hao waasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kama alimwokoa Loti, mtu mwenye haki, ambaye alihuzunishwa na maisha machafu ya watu wapotovu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kama alimwokoa Lutu, mtu mwenye haki, ambaye alihuzunishwa na maisha machafu ya watu wapotovu
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akamwokoa Lutu, yule mwenye haki aliyehuzunishwa sana na mwenendo wa ufisadi wa hao wahalifu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimwokoa Loti, mtu mwema, ambaye alisikitishwa sana na mwenendo mbaya wa watu hao waasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Loti aliyekuwa mwongofu alimwokoa, kwani aliumia sana kwa kuuona mwenendo wao wasioonyeka wakipenda mambo ya uasherati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akamwokoa Lutu, yule mwenye haki aliyehuzunishwa sana na mwenendo wa ufisadi wa hao wahalifu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu alimwokoa Loti, mutu wa haki, aliyehuzunishwa sana na mwenendo mubaya wa wale watu waovu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akamwokoa Lut, aliyehuzunishwa na mwenendo wa uasharati wa hawo wakhalifu;