2 Samuel 1:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakaomboleza, wakalia na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Shauli, Yonathani mwanawe, na nchi ya Waisraeli, watu wa Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wengi wao waliuawa vitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaomboleza, wakalia pia na kufunga hadi jioni kwa ajili ya Sauli na Yonathani mwanawe, kwa ajili ya jeshi la Mwenyezi Mungu na nyumba ya Israeli, kwa sababu wameanguka kwa upanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakaomboleza, wakalia, wakafunga hata jioni, kwa ajili ya Sauli, na kwa ajili ya Yonathani mwanawe, na kwa ajili ya watu wa Bwana na kwa ajili ya nyumba ya Israeli; kwa sababu wameanguka kwa upanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakaomboleza, wakalia na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Shauli, Yonathani mwanawe, na nchi ya Waisraeli, watu wa Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wengi wao waliuawa vitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaomboleza, wakalia pia na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Sauli na Yonathani mwanawe, kwa ajili ya jeshi la BWANA na nyumba ya Israeli, kwa sababu wameanguka kwa upanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaomboleza, wakalia pia na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Sauli na Yonathani mwanawe, kwa ajili ya jeshi la bwana na nyumba ya Israeli, kwa sababu wameanguka kwa upanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakaomboleza, wakalia, wakafunga hadi jioni, kwa ajili ya Sauli, na kwa ajili ya Yonathani mwanawe, na kwa ajili ya watu wa BWANA na kwa ajili ya nyumba ya Israeli; kwa sababu wameanguka kwa upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakaomboleza, wakalia na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Shauli, Yonathani mwanawe, na nchi ya Waisraeli, watu wa Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wengi wao waliuawa vitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaomboleza na kulia machozi, wakafunga mfungo mpaka jioni kwa ajili ya Sauli na kwa ajili ya mwanawe Yonatani na kwa ajili ya watu wa Bwana na kwa ajili yao wa mlango wa Isiraeli, kwa kuwa wameangushwa na panga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakaomboleza, wakalia, wakafunga hata jioni, kwa ajili ya Sauli, na kwa ajili ya Yonathani mwanawe, na kwa ajili ya watu wa BWANA na kwa ajili ya nyumba ya Israeli; kwa sababu wameanguka kwa upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaomboleza, wakalia na kufunga kula mpaka magaribi kwa ajili ya Saulo, Yonatani mwana wake, na inchi ya Waisraeli, watu wa Yawe, kwa maana wengi kati yao waliuawa katika vita.