2 Samuel 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akamwuliza, “Ilikuwaje wewe hukuogopa kuunyosha mkono wako na kumuua mtu aliyeteuliwa na Mwenyezi-Mungu kwa kupakwa mafuta?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akamuuliza, “Kwa nini hukuogopa kuinua mkono wako ili kumwangamiza mpakwa mafuta wa Mwenyezi Mungu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akamwambia, Jinsi gani hukuogopa kuunyosha mkono wako umwangamize masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akamwuliza, “Ilikuwaje wewe hukuogopa kuunyosha mkono wako na kumuua mtu aliyeteuliwa na Mwenyezi-Mungu kwa kupakwa mafuta?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akamwuliza, “Kwa nini hukuogopa kuinua mkono wako ili kumwangamiza mpakwa mafuta wa BWANA?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akamuuliza, “Kwa nini hukuogopa kuinua mkono wako ili kumwangamiza mpakwa mafuta wa bwana?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akamwambia, Jinsi gani hukuogopa kuunyosha mkono wako umwangamize masihi wa BWANA?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akamwuliza, “Ilikuwaje wewe hukuogopa kuunyosha mkono wako na kumuua mtu aliyeteuliwa na Mwenyezi-Mungu kwa kupakwa mafuta?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akamwambia: Kumbe hukuogopa kuuinua mkono wako, umwangamize aliyepakwa mafuta na Bwana?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akamwambia, Jinsi gani hukuogopa kuunyosha mkono wako umwangamize masihi wa BWANA?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akamwuliza: “Ilikuwa namna gani wewe haukuogopa kuunyoosha mukono wako na kumwua muchaguliwa wa Yawe?”