2 Samuel 1:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi aliimba ombolezo lifuatalo kwa ajili ya Shauli na mwanawe Yonathani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akafanya maombolezo haya kuhusu Sauli na Yonathani mwanawe,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akamwomboleza Sauli, na Yonathani, mwanawe, maombolezo haya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi aliimba ombolezo lifuatalo kwa ajili ya Shauli na mwanawe Yonathani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akafanya maombolezo haya kuhusu Sauli na Yonathani mwanawe,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akafanya maombolezo haya kuhusu Sauli na Yonathani mwanawe,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akamwombolezea Sauli, na Yonathani, mwanawe, maombolezo haya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi aliimba ombolezo lifuatalo kwa ajili ya Shauli na mwanawe Yonathani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akatunga ombolezo hili la kumwombolezea Sauli na mwanawe Yonatani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akamwomboleza Sauli, na Yonathani, mwanawe, maombolezo haya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi aliimba maombolezo haya kwa ajili ya Saulo na mwana wake Yonatani.