2 Samuel 1:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alisema watu wa Yuda wafundishwe ombolezo hilo, nalo limeandikwa katika kitabu cha Yashari. Daudi aliimba,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akaagiza kwamba watu wa Yuda wafundishwe ombolezo hili la upinde (ambalo limeandikwa katika Kitabu cha Yashari):
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Yashari), akasema, Wana wa Yuda na wafundishwe haya,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alisema watu wa Yuda wafundishwe ombolezo hilo, nalo limeandikwa katika kitabu cha Yashari. Daudi aliimba,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akaagiza kwamba watu wa Yuda wafundishwe ombolezo hili la upindi (ambalo limeandikwa katika Kitabu cha Yashari):
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akaagiza kwamba watu wa Yuda wafundishwe ombolezo hili la upinde (ambalo limeandikwa katika Kitabu cha Yashari):
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Yashari), akasema, Wana wa Yuda na wafundishwe haya,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alisema watu wa Yuda wafundishwe ombolezo hilo, nalo limeandikwa katika kitabu cha Yashari. Daudi aliimba,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaagiza kuwafundisha wana wa Yuda wimbo huu wa upindi, nao utaukuta, umeandikwa katika kitabu cha Mnyofu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Yashari), akasema, Wana wa Yuda na wafundishwe haya,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alisema watu wa Yuda wafundishwe maombolezo hayo, nayo yameandikwa katika kitabu cha Yaseri. Daudi aliimba: