2 Samuel 1:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa milimani pako. Jinsi gani mashujaa walivyoanguka!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka. Tazama jinsi mashujaa walivyoanguka!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walio fahari yako, Ee Israeli Juu ya mahali pako palipoinuka wameuawa; Jinsi mashujaa walivyoanguka!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa milimani pako. Jinsi gani mashujaa walivyoanguka!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Walio fahari yako, Ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka. Jinsi wenye nguvu walivyoanguka!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka. Jinsi wenye nguvu walivyoanguka!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walio fahari yako, Ee Israeli Juu ya mahali pako palipoinuka wameuawa; Jinsi mashujaa walivyoanguka!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa milimani pako. Jinsi gani mashujaa walivyoanguka!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isiraeli, waliokuwa pambo lake wameuawa vilimani kwako! Imekuwaje, wakiangushwa hao mafundi wa vita?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walio fahari yako, Ee Israeli Juu ya mahali pako palipoinuka wameuawa; Jinsi mashujaa walivyoanguka!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe Israeli, utukufu wako umeuawa, juu ya milima yako. Angalia jinsi mashujaa walivyoanguka!