2 Samuel 1:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Enyi milima ya Gilboa, msiwe na umande au mvua juu yenu. Wala mashamba yenu daima yasitoe chochote. Maana huko ngao za shujaa zilitiwa najisi, ngao ya Shauli haikupakwa mafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Enyi milima ya Gilboa, msipate umande wala mvua, wala mashamba yanayozaa sadaka ya nafaka. Kwa maana huko ndiko ngao ya mwenye nguvu iliponajisiwa, ngao ya Sauli haitapakwa tena mafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi milima ya Gilboa, visiwepo juu yenu Umande wala mvua, wala mashamba ya matoleo; Maana ndipo ilipotupwa kwa aibu ngao ya shujaa, Ngao yake Sauli, pasipo kutiwa mafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Enyi milima ya Gilboa, msiwe na umande au mvua juu yenu. Wala mashamba yenu daima yasitoe chochote. Maana huko ngao za shujaa zilitiwa najisi, ngao ya Shauli haikupakwa mafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Enyi milima ya Gilboa, msipate umande wala mvua, wala mashamba yazaayo sadaka ya nafaka. Kwa maana huko ndiko ngao ya mwenye nguvu iliponajisiwa, ngao ya Sauli haitapakwa tena mafuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Enyi milima ya Gilboa, msipate umande wala mvua, wala mashamba yazaayo sadaka ya nafaka. Kwa maana huko ndiko ngao ya mwenye nguvu iliponajisiwa, ngao ya Sauli haitapakwa tena mafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi milima ya Gilboa, visiwepo juu yenu Umande wala mvua, wala mashamba ya matoleo; Maana ndipo ilipotupwa kwa aibu ngao ya shujaa, Ngao yake Sauli, pasipo kutiwa mafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Enyi milima ya Gilboa, msiwe na umande au mvua juu yenu. Wala mashamba yenu daima yasitoe chochote. Maana huko ngao za shujaa zilitiwa najisi, ngao ya Shauli haikupakwa mafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msione tena umande wala mvua, ninyi milima ya Gilboa, yasiwe tena kwenu mashamba yenye malimbuko! Kwani ndiko, zilikoachwa ngao zao hao mafundi wa vita, ngao yake Sauli naye, kama hakupakwa mafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi milima ya Gilboa, visiwepo juu yenu Umande wala mvua, wala mashamba ya matoleo; Maana ndipo ilipotupwa kwa aibu ngao ya shujaa, Ngao yake Sauli, pasipo kutiwa mafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi milima ya Gilboa, musikuwe na umande au mvua juu yenu. Wala mashamba yenu yasitoe chochote siku zote. Maana kule ngao za shujaa zilichafuliwa, ngao ya Saulo haikupakaliwa mafuta.