2 Samuel 1:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Upinde wa Yonathani kamwe haukurudi nyuma, upanga wa Shauli kamwe haukurudi bure, daima ziliua wengi. Naam, ziliua mashujaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kutokana na damu ya waliouawa, kutokana na miili ya wenye nguvu, ule upinde wa Yonathani haukugeuka nyuma. Upanga wa Sauli haukurudi bure.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kutoka kwa damu yao waliouawa, Kutoka kwa shahamu yao mashujaa, Upinde wa Yonathani haukurudi nyuma, Wala upanga wa Sauli haukurudi bure.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Upinde wa Yonathani kamwe haukurudi nyuma, upanga wa Shauli kamwe haukurudi bure, daima ziliua wengi. Naam, ziliua mashujaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutokana na damu ya waliouawa, kutokana na miili ya wenye nguvu, ule upindi wa Yonathani haukugeuka nyuma. Upanga wa Sauli haukurudi bure.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutokana na damu ya waliouawa, kutokana na miili ya wenye nguvu, ule upinde wa Yonathani haukugeuka nyuma. Upanga wa Sauli haukurudi bure.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kutoka kwa damu yao waliouawa, Kutoka kwa shahamu yao mashujaa, Upinde wa Yonathani haukurudi nyuma, Wala upanga wa Sauli haukurudi bure.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Upinde wa Yonathani kamwe haukurudi nyuma, upanga wa Shauli kamwe haukurudi bure, daima ziliua wengi. Naam, ziliua mashujaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upindi wake Yonatani ulikuwa hauponyi, ijapo wawe mafundi wa vita wenye unono, uliotaka kuwaua; upanga wake Sauli haukurudi alani, usipokuwa umeua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kutoka kwa damu yao waliouawa, Kutoka kwa shahamu yao mashujaa, Upinde wa Yonathani haukurudi nyuma, Wala upanga wa Sauli haukurudi bure.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upinde wa Yonatani haukurudi nyuma hata kidogo, upanga wa Saulo haukurudi bure hata kidogo. Viliua wengi siku zote, Viliua mashujaa.