2 Samuel 1:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wanawake wa Israeli, mlilieni Shauli! Aliwavika mavazi mekundu ya fahari, aliyatarizi mavazi yenu kwa dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Enyi binti za Israeli, lieni kwa ajili ya Sauli, ambaye aliwavika nguo nyekundu na maridadi, ambaye alirembesha mavazi yenu kwa mapambo ya dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi binti za Israeli, mlilieni Huyo Sauli, ambaye aliwavika Mavazi mekundu kwa anasa, Akazipamba nguo zenu dhahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wanawake wa Israeli, mlilieni Shauli! Aliwavika mavazi mekundu ya fahari, aliyatarizi mavazi yenu kwa dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Enyi binti za Israeli, lieni kwa ajili ya Sauli, ambaye aliwavika nguo nyekundu na maridadi, ambaye aliremba mavazi yenu kwa mapambo ya dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Enyi binti za Israeli, lieni kwa ajili ya Sauli, ambaye aliwavika nguo nyekundu na maridadi, ambaye aliremba mavazi yenu kwa mapambo ya dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi binti za Israeli, mlilieni Huyo Sauli, ambaye aliwavika Mavazi mekundu kwa anasa, Akazipamba nguo zenu dhahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wanawake wa Israeli, mlilieni Shauli! Aliwavika mavazi mekundu ya fahari, aliyatarizi mavazi yenu kwa dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi wanawake wa Kiisiraeli, mwombolezeeni Sauli! Kwani aliwavika mavazi ya kifalme yenye urembo mwingi, kisha hizo nguo zenu akazipamba kwa mapambo ya dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi binti za Israeli, mlilieni Huyo Sauli, ambaye aliwavika Mavazi mekundu kwa anasa, Akazipamba nguo zenu dhahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanawake wa Israeli, mumulilie Saulo, aliyewavalisha nguo nyekundu za utukufu, aliyepamba nguo zenu kwa zahabu.