2 Samuel 1:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Jinsi gani mashujaa walivyoanguka! Wamekufa wakiwa katika mapambano. Yonathani analala, akiwa ameuawa milimani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tazama jinsi mashujaa walivyoanguka vitani! Yonathani ameuawa mahali pako palipoinuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jinsi mashujaa walivyoanguka Katikati ya vita! Ee Yonathani, wewe umeuawa Juu ya mahali pako palipoinuka
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Jinsi gani mashujaa walivyoanguka! Wamekufa wakiwa katika mapambano. “Yonathani analala, akiwa ameuawa milimani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tazama jinsi mashujaa walivyoanguka vitani! Yonathani ameuawa mahali pako palipoinuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tazama jinsi mashujaa walivyoanguka vitani! Yonathani ameuawa mahali pako palipoinuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jinsi mashujaa walivyoanguka Katikati ya vita! Ee Yonathani, wewe umeuawa Juu ya mahali pako palipoinuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Jinsi gani mashujaa walivyoanguka! Wamekufa wakiwa katika mapambano. Yonathani analala, akiwa ameuawa milimani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Imekuwaje, wakiangushwa vitani hao mafundi wa vita? Yonatani akiuawa vilimani kwako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jinsi mashujaa walivyoanguka Katikati ya vita! Ee Yonathani, wewe umeuawa Juu ya mahali pako palipoinuka
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jinsi gani mashujaa walivyoanguka katika vita. Yonatani analala, akiwa ameuawa kwenye milima.