2 Samuel 1:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akamwambia, “Unatoka wapi?” Naye akamwambia, “Nimetoroka kutoka kambi ya Waisraeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akamuuliza, “Wewe umetoka wapi?” Akamjibu, “Nimetoroka kutoka kambi ya Waisraeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akamwambia, Umetoka wapi? Akamwambia, Nimeokoka katika kambi ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akamwambia, “Unatoka wapi?” Naye akamwambia, “Nimetoroka kutoka kambi ya Waisraeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akamwuliza, “Wewe umetoka wapi?” Akamjibu, “Nimetoroka kutoka katika kambi ya Waisraeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akamuuliza, “Wewe umetoka wapi?” Akamjibu, “Nimetoroka kutoka kambi ya Waisraeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akamwambia, Umetoka wapi? Akamwambia, Nimeokoka katika kambi ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akamwambia, “Unatoka wapi?” Naye akamwambia, “Nimetoroka kutoka kambi ya Waisraeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi alipomwuliza: Unatoka wapi? akamwambia: Nimekimbia makambini kwa Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akamwambia, Umetoka wapi? Akamwambia, Nimeokoka katika kambi ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akamwambia: “Unatoka wapi?” Naye akamwambia: “Nimetoroka kutoka katika kambi ya Waisraeli.”