2 Samuel 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
yeye aliniuliza mimi ni nani, nami nikamwambia kuwa mimi ni Mmaleki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Akaniuliza, ‘Wewe ni nani?’ “Nikamjibu, ‘Mimi ni Mwamaleki.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaniambia, U nani wewe? Nikamjibu, Mimi ni Mwamaleki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
yeye aliniuliza mimi ni nani, nami nikamwambia kuwa mimi ni Mmaleki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Akaniuliza, ‘Wewe ni nani?’ “Nikamjibu, ‘Mimi ni Mwamaleki.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Akaniuliza, ‘Wewe ni nani?’ “Nikamjibu, ‘Mimi ni Mwamaleki.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaniambia, U nani wewe? Nikamjibu, Mimi ni Mwamaleki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
yeye aliniuliza mimi ni nani, nami nikamwambia kuwa mimi ni Mmaleki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniuliza: Wewe nani? Nikamjibu: Mimi Mwamaleki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaniambia, U nani wewe? Nikamjibu, Mimi ni Mwamaleki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
yeye aliniuliza mimi ni nani, nami nikamwambia kwamba mimi ni Mwamaleki.