2 Samuel 10:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu akamwambia Abishai, “Ikiwa Waaramu wananizidi nguvu, utanisaidia lakini kama Waamoni wanakuzidi nguvu, nitakuja kukusaidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoabu akasema, “Kama Waaramu watanizidi nguvu, basi itawabidi mje kunisaidia. Lakini kama Waamoni watawazidi nguvu, basi nitakuja kuwasaidia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Wakiwa Washami hodari mno kwangu, ndipo wewe utanisaidia, lakini wana wa Amoni wakiwa ni hodari mno kwako, ndipo mimi nitakuja nikusaidie wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu akamwambia Abishai, “Ikiwa Waaramu wananizidi nguvu, utanisaidia lakini kama Waamoni wanakuzidi nguvu, nitakuja kukusaidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoabu akasema, “Ikiwa Waaramu wana nguvu kunizidi, basi itawabidi mje kuniokoa, lakini ikiwa Waamoni wana nguvu kuwazidi ninyi, basi nitakuja kuwaokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoabu akasema, “Kama Waaramu watanizidi nguvu, basi itawabidi mje kunisaidia. Lakini kama Waamoni watawazidi nguvu, basi nitakuja kuwasaidia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Wakiwa Washami hodari mno kwangu, ndipo wewe utanisaidia, lakini Waamoni wakiwa ni hodari mno kwako, ndipo mimi nitakuja nikusaidie wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu akamwambia Abishai, “Ikiwa Waaramu wananizidi nguvu, utanisaidia lakini kama Waamoni wanakuzidi nguvu, nitakuja kukusaidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akasema: Kama Washami wanapata nguvu za kunishinda, sharti uje kunisaidia. Tena kama wana wa Amoni wanapata nguvu za kukushinda, sharti nije, nikusaidie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Wakiwa Washami hodari mno kwangu, ndipo wewe utanisaidia, lakini wana wa Amoni wakiwa ni hodari mno kwako, ndipo mimi nitakuja nikusaidie wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu akamwambia Abisayi: “Ikiwa Waaramu wananishinda nguvu, utanisaidia lakini kama Waamoni wanakushinda nguvu, nitakuja kukusaidia.