2 Samuel 10:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Waaramu walipoona kwamba wameshindwa na Waisraeli, walijikusanya pamoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Waaramu kuona wameshindwa na Israeli, wakajikusanya tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Washami walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, wakakusanyika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Waaramu walipoona kwamba wameshindwa na Waisraeli, walijikusanya pamoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Waaramu kuona wamekimbizwa na Israeli, wakajikusanya tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Waaramu kuona wameshindwa na Israeli, wakajikusanya tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Washami walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, wakakusanyika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Waaramu walipoona kwamba wameshindwa na Waisraeli, walijikusanya pamoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Washami walipoona, ya kuwa wameshindwa nao Waisiraeli, wakakusanyika pamoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Washami walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, wakakusanyika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)