2 Samuel 10:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hadadezeri aliagiza Waaramu waliokuwa ngambo ya mto Eufrate waletwe, wapelekwe huko Helamu wakiongozwa na Shobaki kamanda wa jeshi la Hadadezeri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hadadezeri akaagiza Waaramu walioletwa kutoka ng’ambo ya Mto, wakaenda Helamu pamoja na Shobaki jemadari wa jeshi la Hadadezeri akiwaongoza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Hadadezeri akatuma na kuwaleta Washami waliokuwako ng'ambo ya Mto; nao wakaja Helamu, naye Shobaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri, akawaongoza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hadadezeri aliagiza Waaramu waliokuwa ng'ambo ya mto Eufrate waletwe, wapelekwe huko Helamu wakiongozwa na Shobaki kamanda wa jeshi la Hadadezeri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hadadezeri akaagiza Waaramu walioletwa kutoka ng'ambo ya Mto Eufrati, wakaenda Helamu pamoja na Shobaki jemadari wa jeshi la Hadadezeri akiwaongoza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hadadezeri akaagiza Waaramu walioletwa kutoka ng’ambo ya Mto Frati, wakaenda Helamu pamoja na Shobaki jemadari wa jeshi la Hadadezeri akiwaongoza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Hadadezeri akatuma na kuwaleta Washami waliokuwako ng'ambo ya Mto; nao wakaja Helamu, naye Shobaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri, akawaongoza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hadadezeri aliagiza Waaramu waliokuwa ngambo ya mto Eufrate waletwe, wapelekwe huko Helamu wakiongozwa na Shobaki kamanda wa jeshi la Hadadezeri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Hadadezeri akatuma watu kuwachukua Washami walioko ng'ambo ya huko ya jito hilo; nao wakaja Helamu, naye mkuu wa vikosi vya Hadadezeri, jina lake Sobaki, akawaongoza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Hadadezeri akatuma na kuwaleta Washami waliokuwako ng’ambo ya Mto; nao wakaja Helamu, naye Shobaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri, akawaongoza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hadadezeri aliagiza Waaramu waliokuwa ngambo ya muto Furati waletwe, wapelekwe kule Helamu wakiongozwa na Sobaki, jemadari wa waaskari wa Hadadezeri.