2 Samuel 10:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alipopata habari, aliwakusanya pamoja Waisraeli wote, akavuka mto Yordani na kwenda mpaka Helamu. Nao Waaramu walijipanga tayari kwa vita dhidi ya Daudi, wakaanza kupigana naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi alipoambiwa haya, akawakusanya Israeli wote, wakavuka Mto Yordani, wakaenda Helamu. Waaramu wakapanga vikosi vyao vya askari kukabiliana na kupigana dhidi ya Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipoambiwa Daudi, akakusanya Israeli wote, akavuka Yordani, akaja Helamu. Nao Washami wakajipanga kinyume cha Daudi, wakapigana naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alipopata habari, aliwakusanya pamoja Waisraeli wote, akavuka mto Yordani na kwenda mpaka Helamu. Nao Waaramu walijipanga tayari kwa vita dhidi ya Daudi, wakaanza kupigana naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi alipoambiwa jambo hili, akakusanya Israeli yote, wakavuka Mto Yordani, wakaenda Helamu. Waaramu wakapanga vikosi vyao vya askari kukabiliana na kupigana dhidi ya Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi alipoambiwa haya, akawakusanya Israeli wote, wakavuka Mto Yordani, wakaenda Helamu. Waaramu wakapanga vikosi vyao vya askari kukabiliana na kupigana dhidi ya Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi alipoambiwa, akakusanya Israeli wote, akavuka Yordani, akaja Helamu. Nao Washami wakajipanga kinyume cha Daudi, wakapigana naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alipopata habari, aliwakusanya pamoja Waisraeli wote, akavuka mto Yordani na kwenda mpaka Helamu. Nao Waaramu walijipanga tayari kwa vita dhidi ya Daudi, wakaanza kupigana naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi alipopashwa habari hizi, akawakusanya Waisiraeli wote, akauvuka Yordani, akaja Helamu; ndipo, Washami walipojipanga kukutana na Dawidi, wakapigana naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipoambiwa Daudi, akakusanya Israeli wote, akavuka Yordani, akaja Helamu. Nao Washami wakajipanga kinyume cha Daudi, wakapigana naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alipopata habari, aliwakusanya pamoja waaskari wote wa Israeli, akavuka muto Yordani na kwenda mpaka Helamu. Nao Waaramu walijipanga tayari kwa vita na Daudi, wakaanza kupigana naye.