2 Samuel 11:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alipoambiwa kwamba Uria hakwenda nyumbani kwake, Daudi alimwuliza Uria, “Wewe umetoka safari, kwa nini hukuenda nyumbani kwako?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi alipoambiwa kwamba, “Uria hakuenda nyumbani,” Daudi akamuuliza, “Je, si ndiyo tu umefika kutoka safari ya mbali? Kwa nini hukuenda nyumbani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu walipomwambia Daudi ya kwamba, Uria hakushuka nyumbani kwake, Daudi akamwambia Uria, Je! Hukutoka safarini? Mbona hukushuka nyumbani kwako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alipoambiwa kwamba Uria hakwenda nyumbani kwake, Daudi alimwuliza Uria, “Wewe umetoka safari, kwa nini hukuenda nyumbani kwako?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi alipoambiwa kwamba, “Uria hakwenda nyumbani,” Daudi akamwuliza, “Je, si ndiyo tu umefika kutoka safari ya mbali? Kwa nini hukwenda nyumbani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi alipoambiwa kwamba, “Uria hakwenda nyumbani,” Daudi akamuuliza, “Je, si ndiyo tu umefika kutoka safari ya mbali? Kwa nini hukwenda nyumbani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu walipomwambia Daudi ya kwamba, Uria hakushuka nyumbani kwake, Daudi akamwambia Uria, Je! Hukutoka safarini? Mbona hukushuka nyumbani kwako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alipoambiwa kwamba Uria hakwenda nyumbani kwake, Daudi alimwuliza Uria, “Wewe umetoka safari, kwa nini hukuenda nyumbani kwako?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu walipompasha Dawidi habari hizo kwamba: Uria hakushuka kwenda nyumbani mwake, Dawidi akamwuliza Uria: Je? Hukutoka njiani? Mbona hushuki kwenda nyumbani mwako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu walipomwambia Daudi ya kwamba, Uria hakushuka nyumbani kwake, Daudi akamwambia Uria, Je! Hukutoka safarini? Mbona hukushuka nyumbani kwako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi aliposikia kwamba Uria hakwenda kwake, Daudi akamwuliza Uria: “Wewe umetoka safari, kwa nini haukuenda kwako?”