2 Samuel 11:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asubuhi yake, Daudi alimwandikia Yoabu barua akampa Uria aipeleke kwa Yoabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake asubuhi, Daudi akamwandikia Yoabu barua, akamtuma Uria kuipeleka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ikawa asubuhi, Daudi akamwandikia Yoabu waraka, akaupeleka kwa mkono wa Uria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asubuhi yake, Daudi alimwandikia Yoabu barua akampa Uria aipeleke kwa Yoabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asubuhi yake Daudi akamwandikia Yoabu barua, akamtuma Uria kuipeleka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asubuhi yake Daudi akamwandikia Yoabu barua, akamtuma Uria kuipeleka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ikawa asubuhi, Daudi akamwandikia Yoabu barua, akaituma kwa mkono wa Uria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asubuhi yake, Daudi alimwandikia Yoabu barua akampa Uria aipeleke kwa Yoabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulipokucha, Dawidi akamwandikia Yoabu barua, akaipeleka mkononi mwa Uria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ikawa asubuhi, Daudi akamwandikia Yoabu waraka, akaupeleka kwa mkono wa Uria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asubui yake, Daudi alimwandikia Yoabu barua, akamupa Uria aipeleke kwa Yoabu.