2 Samuel 11:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakazi wa mji huo walitoka katika mji wao na kupigana na Yoabu. Baadhi ya watumishi wa Daudi, waliuawa. Uria Mhiti naye aliuawa pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume wa mji walipotoka kwenda kupigana dhidi ya Yoabu, baadhi ya watu katika jeshi la Daudi wakauawa; zaidi ya hayo, Uria Mhiti akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wa mji wakatoka, wakapigana na Yoabu; na baadhi ya watu, watumishi wa Daudi, wakaanguka; Uria Mhiti naye akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakazi wa mji huo walitoka katika mji wao na kupigana na Yoabu. Baadhi ya watumishi wa Daudi, waliuawa. Uria Mhiti naye aliuawa pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati watu wa mjini walipotoka kwenda kupigana dhidi ya Yoabu, baadhi ya watu katika jeshi la Daudi wakauawa, zaidi ya hayo, Uria, Mhiti, akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati watu wa mjini walipotoka kwenda kupigana dhidi ya Yoabu, baadhi ya watu katika jeshi la Daudi wakauawa, zaidi ya hayo, Uria, Mhiti, akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wa mji wakatoka, wakapigana na Yoabu; na baadhi ya watu, watumishi wa Daudi, wakaanguka; Uria, Mhiti, naye akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakazi wa mji huo walitoka katika mji wao na kupigana na Yoabu. Baadhi ya watumishi wa Daudi, waliuawa. Uria Mhiti naye aliuawa pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wa huo mji walipotoka kupigana na Yoabu, wakauawa watu miongoni mwao walio watu wake na watumishi wa Dawidi, hata yule Mhiti Uria akafa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wa mji wakatoka, wakapigana na Yoabu; na baadhi ya watu, watumishi wa Daudi, wakaanguka; Uria Mhiti naye akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaaji wa muji ule walitoka katika muji wao na kupigana na Yoabu. Watumishi wamoja wa Daudi, waliuawa. Uria wa Hiti naye aliuawa vilevile.