2 Samuel 11:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Yoabu alipeleka habari zote kwa Daudi akimweleza juu ya vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoabu akampelekea Daudi maelezo yote ya vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yoabu akapeleka na kumwarifu Daudi habari zote za vita;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Yoabu alipeleka habari zote kwa Daudi akimweleza juu ya vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoabu akampelekea Daudi maelezo yote ya vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoabu akampelekea Daudi maelezo yote ya vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yoabu akapeleka ujumbe na kumwarifu Daudi habari zote za vita;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Yoabu alipeleka habari zote kwa Daudi akimweleza juu ya vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yoabu akatuma kumpasha Dawidi habari za mambo yote ya vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yoabu akapeleka na kumwarifu Daudi habari zote za vita;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Yoabu alipeleka habari zote kwa Daudi akimwelezea juu ya vita.