2 Samuel 11:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mjumbe alikwenda kwa Daudi na kumwambia yote aliyotumwa na Yoabu ayaseme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mjumbe akaondoka. Alipowasili akamwambia Daudi kila kitu alichokuwa ametumwa na Yoabu kusema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi yule mjumbe akaenda, akafika na kumwonyesha Daudi yote aliyomtuma Yoabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mjumbe alikwenda kwa Daudi na kumwambia yote aliyotumwa na Yoabu ayaseme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mjumbe akaondoka. Alipowasili akamwambia Daudi kila kitu alichokuwa ametumwa na Yoabu kusema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mjumbe akaondoka. Alipowasili akamwambia Daudi kila kitu alichokuwa ametumwa na Yoabu kusema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi yule mjumbe akaenda, akafika na kumwonesha Daudi yote aliyomtuma Yoabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mjumbe alikwenda kwa Daudi na kumwambia yote aliyotumwa na Yoabu ayaseme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha yule mjumbe akaenda, akaja kumpasha Dawidi habari hizo zote, Yoabu alizomtuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi yule mjumbe akaenda, akafika na kumwonyesha Daudi yote aliyomtuma Yoabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mujumbe alikwenda kwa Daudi na kumwambia yote ambayo aliyotumwa na Yoabu ayaseme.