2 Samuel 11:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu wakatupiga mishale sisi watumishi wako kutoka ukutani. Baadhi ya watumishi wako waliuawa. Hata mtumishi wako Uria, Mhiti, naye amekufa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wapiga upinde walitupa mishale kwa watumishi wako kutoka ukutani, na baadhi ya watu wa mfalme wakafa. Zaidi ya hayo, Uria Mhiti, mtumishi wako, amekufa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wapiga mishale wakatupiga sisi, watumishi wako, toka juu ya ukuta; na baadhi ya watumishi wa mfalme wamekufa, na Uria, Mhiti, mtumishi wako, amekufa naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu wakatupiga mishale sisi watumishi wako kutoka ukutani. Baadhi ya watumishi wako waliuawa. Hata mtumishi wako Uria, Mhiti, naye amekufa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wapiga upindi walitupa mishale kwa watumishi wako kutoka ukutani, na baadhi ya watu wa mfalme wakafa. Zaidi ya hayo, Uria, Mhiti, mtumishi wako amekufa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wapiga upinde walitupa mishale kwa watumishi wako kutoka ukutani, na baadhi ya watu wa mfalme wakafa. Zaidi ya hayo, Uria, Mhiti, mtumishi wako amekufa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wapiga mishale wakatupiga sisi, watumishi wako, toka juu ya ukuta; na baadhi ya watumishi wa mfalme wamekufa, na Uria, Mhiti, mtumishi wako, amekufa naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu wakatupiga mishale sisi watumishi wako kutoka ukutani. Baadhi ya watumishi wako waliuawa. Hata mtumishi wako Uria, Mhiti, naye amekufa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wapiga mishale walipowapiga watumishi wako toka juu ukutani, watu wakafa miongoni mwa watumishi wa mfalme, hata mtumishi wako, yule Mhiti Uria, akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wapiga mishale wakatupiga sisi, watumishi wako, toka juu ya ukuta; na baadhi ya watumishi wa mfalme wamekufa, na Uria, Mhiti, mtumishi wako, amekufa naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wakatupiga mishale sisi watumishi wako kutoka juu ya ukuta. Watumishi wako wamoja waliuawa. Hata mutumishi wako Uria wa Hiti, naye amekufa.”