2 Samuel 11:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyo mwanamke akapata mimba akampelekea Daudi ujumbe, kusema, “Mimi ni mjamzito.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule mwanamke akachukua mimba; basi akapeleka na kumwambia Daudi, akasema, Ni mja-mzito.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyo mwanamke akapata mimba akampelekea Daudi ujumbe, kusema, “Mimi ni mjamzito.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyo mwanamke akapata mimba akampelekea Daudi ujumbe, kusema, “Mimi ni mjamzito.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule mwanamke akachukua mimba; basi akapeleka habari na kumwambia Daudi, akasema, Ni mja mzito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu mwanamke alipopata mimba akatuma kumpasha Dawidi habari kwamba: Mimi ni mwenye mimba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule mwanamke akachukua mimba; basi akapeleka na kumwambia Daudi, akasema, Ni mja-mzito.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanamuke yule akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kwamba yuko na mimba yake.