2 Samuel 11:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uria alipofika kwake, Daudi alimwuliza habari za Yoabu, watu wote, na hali ya vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uria alipofika, Daudi akamuuliza habari za Yoabu, hali za askari na vita kwamba inaendeleaje.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uria alipomwendea Daudi, Daudi alimwuliza habari za Yoabu, na habari za watu, na habari za vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uria alipofika kwake, Daudi alimwuliza habari za Yoabu, watu wote, na hali ya vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uria alipofika, Daudi akamwuliza habari za Yoabu, hali za askari na vita kwamba inaendeleaje.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uria alipofika, Daudi akamuuliza habari za Yoabu, hali za askari na vita kwamba inaendeleaje.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uria alipomwendea Daudi, Daudi alimwuliza habari za Yoabu, na habari za watu, na habari za vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uria alipofika kwake, Daudi alimwuliza habari za Yoabu, watu wote, na hali ya vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uria alipofika kwake Dawidi akamwuliza, kama Yoabu hajambo, kama watu hawajambo, tena jinsi vita vinavyoendelea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uria alipomwendea Daudi, Daudi alimwuliza habari za Yoabu, na habari za watu, na habari za vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)