2 Samuel 12:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Daudi akamwambia Nathani, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu.” Nathani akamwambia, “Mwenyezi-Mungu amekusamehe dhambi yako, nawe hutakufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Daudi akamjibu Nathani, “Nimefanya dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu.” Nathani akamjibu, “Mwenyezi Mungu amekuondolea dhambi yako. Hutakufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia Bwana dhambi. Nathani akamwambia Daudi, Bwana naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Daudi akamwambia Nathani, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu.” Nathani akamwambia, “Mwenyezi-Mungu amekusamehe dhambi yako, nawe hutakufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Daudi akamjibu Nathani, “Nimefanya dhambi dhidi ya BWANA.” Nathani akamjibu, “BWANA amekuondolea dhambi yako. Hutakufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Daudi akamjibu Nathani, “Nimefanya dhambi dhidi ya bwana.” Nathani akamjibu, “ bwana amekuondolea dhambi yako. Hutakufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Daudi akamwambia Nathani, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu.” Nathani akamwambia, “Mwenyezi-Mungu amekusamehe dhambi yako, nawe hutakufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Dawidi alipomwambia Natani: Nimemkosea Bwana! Natani akamwambia Dawidi: Kwa hiyo Bwana ameliondoa hili kosa lako, hutakufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Daudi akamwambia Natani: “Nimetenda zambi mbele ya Yawe.” Natani akamwambia: “Yawe amekusamehe zambi yako, nawe hautakufa.