2 Samuel 12:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, kwa kuwa kwa tendo lako umemdharau kabisa Mwenyezi-Mungu, mtoto wako atakufa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa sababu kwa kufanya hili umefanya adui za Mwenyezi Mungu kuonesha dharau kabisa, mwana atakayezaliwa kwako atakufa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini, kwa kuwa kwa tendo hili umewapa adui za Bwana nafasi kubwa ya kukufuru, mtoto atakayezaliwa kwako hakika yake atakufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, kwa kuwa kwa tendo lako umemdharau kabisa Mwenyezi-Mungu, mtoto wako atakufa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwa sababu kwa kufanya hili umefanya adui za BWANA kuonyesha dharau kabisa, mwana atakayezaliwa kwako atakufa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa sababu kwa kufanya hili umefanya adui za bwana kuonyesha dharau kabisa, mwana atakayezaliwa kwako atakufa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, kwa kuwa kwa tendo hili umewapa adui za BWANA nafasi kubwa ya kukufuru, mtoto atakayezaliwa kwako hakika atakufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, kwa kuwa kwa tendo lako umemdharau kabisa Mwenyezi-Mungu, mtoto wako atakufa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwa kuwa umewapatia wachukivu wa Bwana katika jambo hilo sababu ya kuyaongeza mabezo yao, yule mwana aliyezaliwa hana budi kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, kwa kuwa kwa tendo hili umewapa adui za BWANA nafasi kubwa ya kukufuru, mtoto atakayezaliwa kwako hakika yake atakufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, kwa sababu kwa tendo lako umemuzarau kabisa Yawe, mutoto wako atakufa.”