2 Samuel 12:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Nathani akarudi nyumbani kwake. Mwenyezi-Mungu alimpiga mtoto ambaye Bathsheba mkewe Uria alimzalia Daudi, naye akawa mgonjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Nathani kurudi nyumbani mwake, Mwenyezi Mungu akampiga yule mtoto ambaye mke wa Uria alikuwa amemzalia Daudi, akaugua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Nathani akaondoka kwenda nyumbani kwake. Basi Bwana akampiga yule mtoto ambaye mkewe Uria alimzalia Daudi naye akawa hawezi sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Nathani akarudi nyumbani kwake. Mwenyezi-Mungu alimpiga mtoto ambaye Bathsheba mkewe Uria alimzalia Daudi, naye akawa mgonjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Nathani kurudi nyumbani kwake, BWANA akampiga yule mtoto ambaye mke wa Uria alikuwa amemzalia Daudi, akaugua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Nathani kurudi nyumbani kwake, bwana akampiga yule mtoto ambaye mke wa Uria alikuwa amemzalia Daudi, akaugua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Nathani akaondoka kwenda nyumbani kwake. Basi BWANA akampiga yule mtoto ambaye mkewe Uria alimzalia Daudi naye akawa mgonjwa sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Nathani akarudi nyumbani kwake. Mwenyezi-Mungu alimpiga mtoto ambaye Bathsheba mkewe Uria alimzalia Daudi, naye akawa mgonjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Natani alipokwisha akwenda nyumbani kwake, Bwana akampiga yule mtoto, mkewe Uria aliyemzalia Dawidi, akawa mgonjwa sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Nathani akaondoka kwenda nyumbani kwake. Basi BWANA akampiga yule mtoto ambaye mkewe Uria alimzalia Daudi naye akawa hawezi sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Natani akarudi kwake. Yawe alimupiga mutoto ambaye Batiseba muke wa Uria alimuzalia Daudi, naye akakuwa mugonjwa.