2 Samuel 12:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazee waliokuwa wanamwangalia katika jumba hilo walimfuata na kumsihi aamke, lakini yeye alikataa, na hakula chakula chochote pamoja nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazee wa nyumbani mwake wakamwendea wakasimama karibu naye ili kumwamsha kutoka pale sakafuni, lakini akakataa, wala hakula chochote pamoja nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wazee wa nyumba yake wakaondoka, wakasimama karibu naye, ili wamwinue katika nchi; lakini hakukubali, wala hakula chakula pamoja nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazee waliokuwa wanamwangalia katika jumba hilo walimfuata na kumsihi aamke, lakini yeye alikataa, na hakula chakula chochote pamoja nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazee wa nyumbani mwake wakamwendea wakasimama karibu naye ili kumwamsha kutoka pale sakafuni, lakini akakataa, wala hakula cho chote pamoja nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazee wa nyumbani mwake wakamwendea wakasimama karibu naye ili kumwamsha kutoka pale sakafuni, lakini akakataa, wala hakula chochote pamoja nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wazee wa nyumba yake wakaondoka, wakasimama karibu naye, ili wamwinue kutoka chini; lakini hakukubali, wala hakula chakula pamoja nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazee waliokuwa wanamwangalia katika jumba hilo walimfuata na kumsihi aamke, lakini yeye alikataa, na hakula chakula chochote pamoja nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wazee wa nyumbani mwake wakamtokea, wamwinue chini, lakini akakataa, nacho chakula hakula nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wazee wa nyumba yake wakaondoka, wakasimama karibu naye, ili wamwinue katika nchi; lakini hakukubali, wala hakula chakula pamoja nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazee wa nyumba yake walimufuata na kumusihi aamuke, lakini yeye alikataa, na hakukula chakula chochote pamoja nao.