2 Samuel 12:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule tajiri alikuwa na kondoo wengi na ng'ombe wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mtu tajiri alikuwa na idadi kubwa sana ya kondoo na ng’ombe,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule tajiri alikuwa na kondoo na ng'ombe wengi sana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule tajiri alikuwa na kondoo wengi na ng'ombe wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mtu tajiri alikuwa na idadi kubwa sana ya kondoo na ng'ombe,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mtu tajiri alikuwa na idadi kubwa sana ya kondoo na ng’ombe,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule tajiri alikuwa na kondoo na ng'ombe wengi sana;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule tajiri alikuwa na kondoo wengi na ng'ombe wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule mkwasi alikuwa na kondoo na ng'ombe wengi mno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule tajiri alikuwa na kondoo na ng’ombe wengi sana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule tajiri alikuwa na kondoo wengi na ngombe wengi.