2 Samuel 12:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo watumishi wake wakamwuliza, “Ni jambo gani hili ulilofanya? Mtoto alipokuwa hai, wewe ulifunga na kumlilia. Lakini alipokufa, umeinuka, ukala chakula.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watumishi wake wakamuuliza, “Kwa nini unafanya hivi? Mtoto alipokuwa angali hai, ulifunga na kulia; lakini sasa mtoto amekufa, umeinuka na kula.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watumishi wake wakamwambia, Ni neno gani hili ulilolitenda? Ulifunga na kulia kwa ajili ya mtoto, alipokuwa hai; lakini mtoto alipokuwa amekufa, uliinuka ukala chakula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo watumishi wake wakamwuliza, “Ni jambo gani hili ulilofanya? Mtoto alipokuwa hai, wewe ulifunga na kumlilia. Lakini alipokufa, umeinuka, ukala chakula.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watumishi wake wakamwuliza, “Kwa nini unafanya hivi? Mtoto alipokuwa angali hai, ulifunga na kulia; lakini sasa mtoto amekufa, umeinuka na kula.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watumishi wake wakamuuliza, “Kwa nini unafanya hivi? Mtoto alipokuwa angali hai, ulifunga na kulia; lakini sasa mtoto amekufa, umeinuka na kula.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watumishi wake wakamwambia, Ni jambo gani hili ulilolitenda? Ulifunga na kulia kwa ajili ya mtoto, alipokuwa hai; lakini mtoto alipokuwa amekufa, uliinuka ukala chakula.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo watumishi wake wakamwuliza, “Ni jambo gani hili ulilofanya? Mtoto alipokuwa hai, wewe ulifunga na kumlilia. Lakini alipokufa, umeinuka, ukala chakula.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watumishi wake walipomwuliza: Jambo hili, unalolifanya, linakuwaje? Kwani mtoto alipokuwa angali akiishi, umefunga na kulia machozi; lakini mtoto alipokwisha kufa, umeinuka, ukala chakula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watumishi wake wakamwambia, Ni neno gani hili ulilolitenda? Ulifunga na kulia kwa ajili ya mtoto, alipokuwa hai; lakini mtoto alipokuwa amekufa, uliinuka ukala chakula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu watumishi wake wakamwuliza: “Ni jambo gani hili ulilofanya? Mutoto alipokuwa muzima, wewe ulifunga na kumulilia. Lakini alipokufa, ukasimama, ukakula chakula.”