2 Samuel 12:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akawajibu, “Ni kweli mtoto alipokuwa hai, nilifunga na kulia. Nilifanya hivyo kwani nilifikiri, ‘Nani anajua? Huenda Mwenyezi-Mungu akanirehemu ili mtoto aishi’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajibu, “Mtoto alipokuwa angali hai, nilifunga na kulia. Nilifikiri, ‘Nani ajuaye? Mwenyezi Mungu aweza kunirehemu ili kumwacha mtoto aishi.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Mtoto alipokuwa hai, nalifunga, nikalia; kwa maana nalisema, Ni nani ajuaye kwamba Bwana atanihurumia, mtoto apate kuishi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akawajibu, “Ni kweli mtoto alipokuwa hai, nilifunga na kulia. Nilifanya hivyo kwani nilifikiri, ‘Nani anajua? Huenda Mwenyezi-Mungu akanirehemu ili mtoto aishi’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajibu, “Wakati mtoto alipokuwa bado yungali hai, nilifunga na kulia. Nilifikiri, ‘Nani ajuaye? BWANA aweza kunirehemu ili kumwacha mtoto aishi.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajibu, “Wakati mtoto alipokuwa bado yungali hai, nilifunga na kulia. Nilifikiri, ‘Nani ajuaye? bwana aweza kunirehemu ili kumwacha mtoto aishi.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Mtoto alipokuwa hai, nilifunga, nikalia; kwa maana nilisema, Ni nani ajuaye kama BWANA atanihurumia, mtoto apate kuishi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akawajibu, “Ni kweli mtoto alipokuwa hai, nilifunga na kulia. Nilifanya hivyo kwani nilifikiri, ‘Nani anajua? Huenda Mwenyezi-Mungu akanirehemu ili mtoto aishi’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Kweli mtoto alipokuwa angali akiishi, nimefunga na kulia machozi, kwani nilisema: Labda Bwana atanihurumia, mtoto apate kupona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Mtoto alipokuwa hai, nalifunga, nikalia; kwa maana nalisema, Ni nani ajuaye kwamba BWANA atanihurumia, mtoto apate kuishi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akawajibu: “Ni kweli mutoto alipokuwa muzima, nilifunga na kulia. Nilifanya hivyo maana nilifikiri: ‘Nani anajua? Labda Yawe atanihurumia kusudi mutoto aishi’.