2 Samuel 12:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye akamtuma nabii Nathani kwa Daudi kuwa amwite mtoto huyo Yedidia kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu alimpenda, akatuma neno kwa Daudi kwa kinywa cha nabii Nathani kuwa mtoto aitwe Yedidia kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akapeleka kwa mkono wa Nathani, nabii, naye akamwita jina lake Yedidia, kwa ajili ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye akamtuma nabii Nathani kwa Daudi kuwa amwite mtoto huyo Yedidia kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa BWANA alimpenda, akatuma neno kwa Daudi kwa kinywa cha nabii Nathani kuwa mtoto aitwe Yedidia kwa ajili ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa bwana alimpenda, akatuma neno kwa Daudi kwa kinywa cha nabii Nathani kuwa mtoto aitwe Yedidia kwa ajili ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akapeleka kwa mkono wa Nathani, nabii, naye akamwita jina lake Yedidia, kwa ajili ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye akamtuma nabii Nathani kwa Daudi kuwa amwite mtoto huyo Yedidia kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baadaye Dawidi akampeleka, akamtia mkononi mwa mfumbuaji Natani, huyo akamwita jina lake Yedidia (Mpendwa wa Bwana) kwa ajili ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akapeleka kwa mkono wa Nathani, nabii, naye akamwita jina lake Yedidia, kwa ajili ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
naye akamutuma nabii Natani kwa Daudi kwamba amwite mutoto yule Yedidia, ni kusema “Anayependwa na Yawe”, kwa ajili ya Yawe.