2 Samuel 12:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, Yoabu aliushambulia Raba mji wa Waamoni, naye akauteka huo mji wa kifalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo Yoabu akapigana dhidi ya Raba jamii ya Waamoni na kuteka ngome ya kifalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoabu akapigana juu ya Raba wa wana wa Amoni, akautwaa mji wa kifalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, Yoabu aliushambulia Raba mji wa Waamoni, naye akauteka huo mji wa kifalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo Yoabu akapigana dhidi ya Raba jamii ya Waamoni na kuteka ngome ya kifalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo Yoabu akapigana dhidi ya Raba jamii ya Waamoni na kuteka ngome la kifalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoabu akapigana juu ya Raba mji wa Waamoni, akautwaa mji wa kifalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, Yoabu aliushambulia Raba mji wa Waamoni, naye akauteka huo mji wa kifalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoabu akapiga vita kule Raba kwa wana wa Amoni, akauteka huo mji wa kifalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoabu akapigana juu ya Raba wa wana wa Amoni, akautwaa mji wa kifalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, Yoabu aliushambulia Raba muji wa Waamoni, naye akauteka muji ule wa kifalme.