2 Samuel 12:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu akatuma ujumbe kwa Daudi, “Nimeushambulia mji wa Raba, nami nimelikamata bwawa lao la maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yoabu akatuma wajumbe kwa Daudi, kusema, “Nimepigana dhidi ya Raba, nami nimetwaa chanzo chake cha maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoabu akatuma wajumbe waende kwa Daudi, kusema Nimeshindana na Raba, hata nimeutwaa huo mji wa maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu akatuma ujumbe kwa Daudi, “Nimeushambulia mji wa Raba, nami nimelikamata bwawa lao la maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yoabu akatuma wajumbe kwa Daudi, kusema, “Nimepigana dhidi ya Raba, nami nimetwaa chanzo chake cha maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yoabu akatuma wajumbe kwa Daudi, kusema, “Nimepigana dhidi ya Raba, nami nimetwaa chanzo chake cha maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoabu akatuma wajumbe waende kwa Daudi, kusema Nimeshindana na Raba, hata nimeutwaa huo mji wa maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu akatuma ujumbe kwa Daudi, “Nimeushambulia mji wa Raba, nami nimelikamata bwawa lao la maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yoabu alipotuma wajumbe kwake Dawidi kwamba: Nimepiga vita huku Raba, nikauteka mji huu ulio wenye maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoabu akatuma wajumbe waende kwa Daudi, kusema Nimeshindana na Raba, hata nimeutwaa huo mji wa maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu akatuma ujumbe kwa Daudi: “Nimeushambulia muji wa Raba, nami nimekikamata kisima chao cha maji.